MBUNGE wa Hai,mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe,ameshiriki zoezi la uandikishaji katika orodha ya mpiga kura ambalo ...
WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), umeanza kutumia teknolojia ya mifumo ya kufuatilia viashiria na matukio ya moto, ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka vijana nchini kutojihusisha na mikopo yenye masharti magumu, maarufu kama ‘kausha ...
KLABU ya Simba imetajwa iko katika mazungumzo wa beki wa kati ya RS Berlane, Issouf Dayo, ambaye ni raia wa Burkina Faso, ili ...
KATIKA kuhakikisha wachezaji wake wanarejea haraka ili kushiriki kikamilifu katika maandalizi ya mechi ya dabi, mabosi wa ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar ni nchi salama kwa ...
MBUNGE wa Jimbo la Kishapu Boniphace Butondo, amesimikwa rasmi kuwa Mtemi wa Buduhe na kupewa jina la Nyangindu wa tatu.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali haijatoa maagizo ya kuwaondoa kazini walimu wa cheti, bali imewataka watumie ...
BAADA ya kuchapwa mabao 3-1 na Maafande wa Mafunzo FC katika mechi ya Ligi Kuu Zanzibar iliyochezwa kwenye Uwanja wa nje wa ...
TIMU ya Taifa ya vijana ya umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes), inatarajia kuikaribisha Rwanda katika mechi ya Kundi A ...
WATANZANIA wapenda haki na amani Afrika na duniani kote, kesho wataadhimisha Kumbukizi ya Miaka 25 ya kifo cha Rais wa Kwanza ...
IKIWA kesho ni kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, vijana 1,436 kutoka mikoa yote ...