WATANZANIA wapenda haki na amani Afrika na duniani kote, kesho wataadhimisha Kumbukizi ya Miaka 25 ya kifo cha Rais wa Kwanza ...
IKIWA kesho ni kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, vijana 1,436 kutoka mikoa yote ...
CHIPSI kuku, chipsi yai au chipsi mishkaki kimekuwa chakula maarufu miongoni mwa watu wa marika yote. Si kinababa, kinamama, ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kutokupuuzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, watumie fursa hiyo kugombea na kuchagua viongozi watakaowaletea maendeleo, kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
JESHI la Polisi limekanusha taarifa za kukamatwa kwa Askofu mstaafu wa Dayosisi ya KKKT Kaskazini Mashariki, Dk. Stephen ...
Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian, amesema kuwa uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na China unahamasisha ...
Umoja wa wanafunzi waliosoma shule ya sekondari Milambo, iliyoko mkoani Tabora wamezindua zawadi ya Mwalimu Bora wa Mwaka kwa ...
WAZIRI Kivuli ACT Wazalendo Ofisi ya Waziri Mkuu -Bunge Sera Vijana Kazi na Ajira Mhandisi Ndolezi Petro ameanza ziara yake ...
DEPUTY Speaker of the National Assembly Mussa Zungu has urged farmers and stakeholders within the sugar industry to invest on ...
WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani cha Shifaa na kuahidi kuwa serikali ...
"Tumeonewa kiasi cha kutosha. Tumenyonywa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu ndio uliosababisha tuonewe, tunyonywe na kupuuzwa.
MASHINDANO ya vijana wa umri chini ya miaka 20 ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U-20), yanafanyika hapa nchini kwa ...